Searching...
Image and video hosting by TinyPic
29 August 2014
Friday, August 29, 2014

Makundi ya klabu bingwa Ulaya



Na Oscar Oscar Jr

Baada ya zoezi la upangaji wa makundi ya klabu bingwa Ulaya kufanyika hapo jana, kumekuwa na mechi mbalimbali ambazo zimeibua hisia za wapenzi wa soka Duniani. 

Liverpool imepangwa kundi moja na mabingwa watetezi Real Madrid huku Arsenal akipangwa kwa mara nyingine na Borussia Dortmund.

Kwa mara nyingine tena, Manchester City wamejikuta wakipangwa na mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich huku Chelsea akionekana kupata kundi laini na mpinzani wake mkuu atakuwa ni Schalke. 

Barcelona nao wamewekwa kundi moja na Mabingwa wa Ufaransa PSG na hivyo kufanya watu kuisubiri kwa hamu mechi hiyo kutokana na ubora wa timu zote mbili.

Droo
Kundi A: Atletico Madrid (ESP), Juventus (ITA), Olympiakos (GRE), Malmo (SWE)
Kundi B: Real Madrid (ESP), Basel (SUI), Liverpool (ENG), Ludogorets (BUL) 

Kundi C: Benfica (POR), Zenit St Petersburg (RUS), Bayer Leverkusen (GER), Monaco (FRA)
Kundi D: Arsenal (ENG), Borussia Dortmund (GER), Galatasaray (TUR), Anderlecht (BEL) 

Kundi E: Bayern Munich (GER), Manchester City (ENG), CSKA Moscow (RUS), Roma (ITA)
Kundi F: Barcelona (ESP), Paris Saint-Germain (FRA), Ajax (NED), Apoel (CYP) 

Kundi G: Chelsea (ENG), Schalke 04 (GER), Sporting Lisbon (POR), Maribor (SLO)
Kundi H: Porto (POR), Shakhtar Donetsk (UKR), Athletic Bilbao (ESP), BATE Borisov (BLR)

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!