Searching...
Image and video hosting by TinyPic
3 September 2013
Tuesday, September 03, 2013

HII INAWAHUSU WADAU WA MAN UNITED.



United wanatimu nzuri sana ambayo kama itatetea ubingwa wake wa EPL,mimi siwezi kushangaa.Nadhani DM anatakiwa kufuata akili yake kuliko kufuata alichofanya SAF.

Nadhani nafasi ya Tom Clevery itachukuliwa na MANYWELE a.k.a Fellain.Huyu ni super kiungo ananguvu na pasi zake ni rula,anafunga kwa vichwa kulia na kushoto.DM kwa Fellain ni usajili mzuri sana.

Giggs ifikie mahali,asiwe sehemu ya kikosi na Shabaranks nae a.k.a Welbeck,asubiri Capital one cup.Kagawa hawezi kuzoea ligi au kuongeza uwezo kama kila siku atakuwa benchi.

Luiz nani atakaporejea atakwenda mbavu ya kushoto wakati kule kulia nadhani ni muda wa DM kumfanya ZAHA kuwa mchezaji mkubwa pale Old Trafford.

Kwa sababu Nani bado hajawa fiti,DM anaweza kumtumia RVP kutokea kushoto,10.Kagawa 9.Wazza 8.Fellain 7.Zaha 6.Carrick 5.Vidic 4.Ferdinand 3.evra 2.Jones 1.De Gea.

Bado anakuwa na Benchi la uhakika mdogo wangu CHICHARITO,Young,Nani,Valencia n.k DM anashindwa kupanga timu na sio kwamba Man united ni timu ya kubeza.Binafsi,i do respect united.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!