NIONAVYO MIMI kuna siku mourinho atasema sansiro ndo anapendwa zaidi.
Home
»
Unlabelled
» NIONAVYO MIMI kuna siku mourinho atasema sansiro ndo anapendwa zaidi.
na Oscar Oscar Jr
Mourinho alifungwa kule marekani na Real Madrid,alifungwa kule Jamuhuri
ya Czech na Bayern Munich,alifungwa kule Gordson Park na Everton na
jana kafungwa sebuleni kwake STANFORD BRIDGE na Fc Basel.Usimuamini
Mourinho!!
Chelsea imara ni ile iliyojengeka kwenye msingi wa
OSCAR,MATA na HAZARD.Tangu kuja kwa huyu mwanaume,mambo
yamebadilika.Ameleta bidhaa yake mpya na anataka wateja
wanunue.Usimuamini Mourinho!!
Wakati anarudi chelsea,mashabiki
wengi walidhani sasa hali ni shwari na kujipa matumaini makubwa.Mourinho
usishangae kesho akasema INER MILLAN ndiyo timu iliyojaa kwenye moyo
wake.Usimuamini Mourinho!!
Huu ulikuwa muda wa kumfanya LUKAKU
kuwa DROGBA mpya pale STANFORD BRIDGE kwa kumpanga kila siku dk 90
akicheza mbele ya MATA,OSCAR na HAZARD huku dimba likikaliwa na OBI
MIKEL,RAMIRES na LAMPARD full stop.
0 comments:
Post a Comment