Roman Weidenfeller ni goli kipa wa BVB raia wa Ujerumani kazaliwa mwaka 1980
jana alifanya kazi kubwa sana pale golini na kuinusuru timu yake ingawa baadae,aliweza kudanganywa na Arjen Roben na kufungwa goli la pili.Anastahili pongezi kwa kazi nzuri aliyoifanya.
kwa upande wa BAVARIANS nadhani mjerumani Manuel Neuer jana alifanya kazi nzuri sana hasa dakika 20 za mwanzo wa mchezo.Aliweza kuokoa mikiki mikiki mingi sana sana toka kwa ROBERT LEWANDOWSKI na kijan wa ujeruman MARCO REUS.
25 May 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment