Searching...
Image and video hosting by TinyPic
25 May 2013
Saturday, May 25, 2013

BVB kwenye dimba waliwafunika BAVARIANS

                                                        
Huyu ni bwana mdogo aliyezaliwa nchini Ujeruman mwaka 1989 na wazazi wake wote ni raia wa Uturuki lakini yeye ameamua kuitumikia timu yake ya kuzaliwa UJERUMANI.ILKAY GUNDOGAN jana na siku zote huwa yupo kwenye dimba,ALONSO anaj=mjua fika mwarabu huyu,ni hatari.Jana Schweinstiger alikuwa anakutana na huyu mwamba mtu mzima alikuwa hafurukuti.Alifunga penati nzuri sana.


upande wa dimba la chini la BVB kulikuwa na sven Bender huyu naye ni mwisho wa reli.aliweza kumfunika JAVI MARTINEZ na kufanya anachotaka uwanjani.Nadhani kocha JUUP HEYNCHES angeweza kumpumnzisha na kumwingiza GUSTAVO hasa kipindi cha pili.


0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!