UNAJUA KWA NINI RAUL ALIUZWA PALE BERNABEU?
IMEANDIKWA NA Salum Mambo Jr.
CASSILAS ni golikipa mzuri sanaaa pengine kushinda hata Diego Lopez, kilichomfanya kaka yangu Iker kukaa bench pale madrid ni Mou kusaka ufalme.MOU alitoka Fc Porto kama mfalme alikua maarufu kuizidi hata club yenyewe.
.Akaenda zake CHELSEA akazidi kujiweka kama mfalme na kilichomuondoa pale ni kushindwa kwake kumpita THE BIG BOSS Abramovic,akaona umaarufu wake unamezwa na boss yule akaamua kuondoka kwa kisingizio kuwa boss anamwingilia katika majukumu yake kama kocha.
Akaenda zake Inter kule akamkuta SUPER MARIO BALOTELI ndo super star magazeti yako bize kumwandika Mario kuliko hata Milani yenyewe Mourinho akaamua kumuuza mario haraka ili Ufalme abaki nao yeye.
Akatoka hapo akaenda zake madrid kule sasa akakuta manguli wanapendwa na Mashabiki kuliko hata madrid yenyewe nao ni RAUL & Inker, kabla hata hajaanza kazi akawaambia bodi kuwa katika ratiba yake hatomwitaji kabisa Raul jamaa akauzwa. Vurugu zikabaki kati yake na Inker hadi hapo ilipofikia. YOTE HAYO NI MOURINHO NA UFALME ANAOUTAKA
0 comments:
Post a Comment