Unajua
picha ninyopata hapa kwenye issue ya soccer kuna ,matajiri wameona
soccer linalipa. Kwakuwa wanataka hela.faida ya haraka wanasajiri ready
made players/superstars. naona kabisa demand kubwana ya wachezaji wazuri
inakuja. Kazi kwenu soccer players wa bongo kupenetrate into euoropean
market.
27 May 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment