Kwa
Torres nadhani Del Bosque anataka kubadili mfumo na kuwa na
Mshambuliaji halisi na kuachana na mtindo aliokuwa anamtumia Fabregas
kama mshambuliaji wa uongo.
Kwa Cassilas mi naona kakosea kwasababu
hajacheza kwa muda mrefu na golikipa Diego Lopezi ameonesha kiwango kizuri pale
Madrid. Tatizo Del Bosque na wahispania wengi wanataka kumprove
Mourinho wrong na si vinginevyo.
0 comments:
Post a Comment