tetesi huko majuu
Mtoto wa kibrazil na club ya Santos NEYMAR DA SILVA anaweza akawa rasmi mchezaji wa FC BARCELONA baada ya muda mfupi.
Radamel Falcao huenda akawa mchezaji mpya wa club ya Monaco iliyopanda daraja msimu ujao.
David Moyes amemuweka kwenye rada zake kiungo mshambuliaji wa BARCELONA na HISPANIA
FRANCIS FABREGAS kutua OLD TRAFFORD.
0 comments:
Post a Comment