MOURINHO CHELSEA
by Felchism Mramba
Katika habar zinazouza magazeti kwa sasa ni hii ya mourinho kuja chelsea mimi nikiwa kama shabiki wa chelsea sipendi huyu mtu aje kwa sasa kwani wachezaj waliopo pale hawaendani na Mourinho.
by Felchism Mramba
Katika habar zinazouza magazeti kwa sasa ni hii ya mourinho kuja chelsea mimi nikiwa kama shabiki wa chelsea sipendi huyu mtu aje kwa sasa kwani wachezaj waliopo pale hawaendani na Mourinho.
Mourinho hapendi mchezaji aonyeshe uwezo wake binafsi bali anapenda mchezaji acheze mpira wa pasi
ndefu tu hivyo,kwa watu kama oscar na hazard itawaharibu sana hii system
pili,Mourinho hapendi mchezaji avume kuliko yeye hapa itakuaje
kuhusu HAZARD na wengine ambao wamegeuka vipenzi wa mashcik wa chelsea?
Sitashangaa kama Mourinho akija ukamwona kipa wetu kipenzi ana kaa nje
kusubiri kwani pia kipa huyu ana heshima kwa mashabiki sana kitu ambacho
mourinho hapendi mpaka sasa sijui kwa nini Benitez hapewi heshima
anayostahil kwani kaibadilisha chelsea kuwa timu laini kama nyanya ya Dimateo na kuifanya kua timu ngumu kama nazi kwa sasa .
Benitez alifanya
maamuzi magumu kama kumuamini AZPILICUETA na kumweka pale kulia na INVANOVIC
kurudi kati na LUIZ kusogea pale kati pia kila nikifikiria kwa hali ilivyo
pale chelsea kwa sasa,namuweka BENITEZ juu ya mourinho kwa leo naishia
hapa ila ninamengi sana juu ya huyu mourinho ambayo nitayatoa nipatapo nafasi asanteni sana na karibu tujenge blog yetu ya www.sokastadium.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment