Searching...
Image and video hosting by TinyPic
15 April 2014
Tuesday, April 15, 2014

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAGUZI WA YANGA


Kikao cha Kamati ya Utendaji kilichoketi tarehe 10 Aprili 2014 Makao Makuu ya klabu kiliazimia kuwa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa YANGA SC utafanyika tarehe 15 Juni 2014.

Taarifa za taratibu za Uchaguzi zitatangazwa hapo baadae na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Mh Alex Mgogolwa.
 Imetolewa:
Young Africans SC
14 Aprili,2014.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!