NIONAVYO MIMI KUMLINGANISHA RAMSEY NA KINA LAMPARD, GERRARD NI DHAMBI KUBWA!
Na Oscar Oscar Jr
Ni kweli Ramsey yuko form,ni kweli anafunga magoli,ni kweli anaisaidia
timu yake,ni kweli Lampard umri unakwenda na ni kweli Gerrard umri
unakwenda lakini RAMBO bado hana uwezo wa kukaa V.I.P na hao watu!
Ramsey bado anasafari ya kutembea kwa magoti toka Chanika hadi Boko ili kufikia hao ma-big brothers wa England.
Ramsey
hivi karibuni tu alikuwa akiinuliwa na Wenger kuingia kama sub,watu
walikuwa wanamtukana wenger na kujaa jazba ya kwa nini anamuingiza!! Ni
kweli yuko fomu but anasafari ndefu!
Pamoja na kuwa yuko kwenye ubora wake,ukipewa nafasi leo utengeneza "first eleven" ya EPL,sina hakika kama atapata namba!
Ana ubora yes,but sio wa Lampard na Gerrard!
15 November 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment