Andre Schurrle tayari amesaini chelsea kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa
na meneja msaidizi wa club ya Bayern Liverkusen.huyu ni mtoto wa
kijerumani ambaye anaweza tumika kama winga na wakati mwingine kama
mshambuliaji.Amezaliwa mwaka 1990 nchini ujerumani.
Jose
Mourinho tayari ishathibitika kwamba atakuwa meneja mpya wa chelsea
msimu ujao baada ya kusaini mkataba ambao unasemekana ni wa miaka minne.
kuna kijana mdogo wa kiholanzi anayekipiga na club ya vitesse Arnhem
kama kiungo wa kati adaiwa pia kuwa katika rada ya mabingwa hao wa UEFA
UROPA LEAGUE.Ana umri wa miaka 21 tu.
David Luiz kuna uwezekano
akaondoka DARAJANI ingawa bado haijathibitishwa na MALOUDA ataondoka
kwa sababu mkataba wake umekwisha.
0 comments:
Post a Comment