NIONAVYO MIMI HII NDIYO NJIA YA KUPUNGUZA KELELE ZA MASHABIKI.
Na Oscar Oscar Jr
Nawaombe chelsea na Mourinho wao wafike hatua ya mtoano kwenye UCL na
ili kupunguza kelele zao,wapamgwe na Real Madrid.Mourinho arudi tena
Estadio Santiago Bernabeu.
Barcelona nafans wake ninauhakika
watafika mbali ila kupunguza kelele zao,nitapenda kuona wakipangwa na
Bavarians.Pep Gaudiola arudi tena Camp Nou kwenye Robo fainal ya UCL ili
tumalize ubishi.
Arsenal the Gunners natamani kuona wanatolewa
mapema tu ili kupunguza kelele then,Man united wapangwe na Borrusia
Dortmund kwenye mtoano.
Anyway,natania tu jamani!
15 November 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment