NIONAVYO MIMI KWA ADEBAYOR NA KAKA YAKE AVB.
Na Oscar Oscar Jr
Adebayor ana mika 29 tu,baba na mama yake ni Raia na wazawa wa Nigeria
ingawa yeye ni Raia wa Togo kutokana na kuzaliwa nchini humo.
Soldado tangu ametua SPURS hakuna anachofanya zaidi ya kusubiri penalty
ili afunge,Defoe naye hapewi muda wa kutosha.ukiniuliza AVB anatumia
kigezo gani kumtema Adebayor,sijui!
Katika hali ya kawaida,siamini kama Adebayor angekuwa hajafikisha hata goli 6 katika mechi 10 spurs alizocheza.
Huyu Adebayor siku mzee wenger akifanya U-TURN kama ya Flamini na kuja kucheza mbele ya Ozil na Carzola,dunia itamuona mpya.
Kwa namna washambuliaji wa SPURS walivyo butu,siamini kama Adebayor anawekwa benchi kihalali.Anastahili kupewa nafasi na AVB.
I'm sorry!
AVB ANAMUONEA ADEBAYOR
Home
»
Unlabelled
» AVB ANAMUONEA ADEBAYOR
Share This To :
0 comments:
Post a Comment