SOFAPAKA WANAKUJA DAR ES SALAAM
hawa ndo sofapaka
Timu ya SOFAPAKA imejipanga kuja jiji la DAR ES SAALAM TAREHE 10 kwa ziara ya muda wa siku 4.Katika safari hiyo timu itacheza mechi mbili za kirafiki SIMBA NA YANGA.
Mechi yao ya kwanza itakuwa dhidi ya SIMBA SC itachezwa pale katika dimba la TAIFA tarehe 10 na tarehe 12 watacheza na mabingwa wa TANZANIA DAR YOUNG AFRICA watasafiri na kikosi cha wachezaji ishirini na tarehe 20 watageuza kuduri kwao.
Mabingwa wa Tanzania Dar Young Africa
0 comments:
Post a Comment