Searching...
Image and video hosting by TinyPic
1 June 2013
Saturday, June 01, 2013

PEP GAUDIOLA AMEPEWA MLIMA KUUPANDA


                               PEP GAUDIOLA
Kocha mpya wa BAVARIANS  atakuwa na kazi kubwa sana ya kuendeleza mafanikio yaliyofikiwa na kocha anayemaliza muda wake JUPP HEYNCKES baada ya jana kukamilisha idadi ya makombe matatu katika msimu wake wa mwisho.Huu ni kama mlima ambao PEP GAUDIOLA anatakiwa kuupanda msimu ujao.


Pep ni kocha bora kabisa barani Ulaya na amepata mafanikio makubwa akiwa na club ya Barcelona,BAVARIANS wanakikosi kizuri sana lakini kwa mafanikio ya timu hiyo ya Ujerumani itakuwa ngumu sana kwa PEP kuweza kupata walichokipata msimu huu katika msimu wake wa kwanza.

                                           


                                                            

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!