Searching...
Image and video hosting by TinyPic
29 May 2013
Wednesday, May 29, 2013

MOYES VS MOURINHO







Kocha bora hudhiirika hata kwnye kipindi kigumu cha ukata. In that point we can get Sir Alex,Wenger na Moyes ni mmoja wao ameprove kuwa ni fundi kulingana na timu anayofundisha bajeti ya timi lakini angalia position yao katika msimamo wa ligi inapigana vikumbo na spurz,liver so kwa high Profile Players at united na bajeti nzuri ya timu I bet atafanikiwa. 
 
Morinho is another case mi huwa sionagi kama ni mtaalamu wa soccer ila ana kismati kama mancini ni big spender so sitoshangaa akimbwela chelsea na kufukuzwa! .

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!