Namuona
Mourinho "kama atakayefanikiwa zaidi" kwanza timu anayohamia tayari
alishaifundisha na baadhi ya wachezaji ni "walewale aliowaacha" atakua
na nafasi chache za kujaza "KULINGANA NA MFUMO ANAOUHITAJI"
Tukija
kwa Moyes, nahisi kazi yake itakua
ngumu katika siku za mwanzo!.....ieleweke kuwa: "INGAWA BABU (FEGIE)
AMESTAAFU KAMA COACH BADO ANA SAUTI PALE OT,"....hilo tayari ni tatizo
kwa Moyes, kuna muda atalazimika kupuuza kile anachokiamini ili
amsikilize/amtii BABU,pia ni lazima apangue kikosi "kulingana na mfumo
anaouhitaji yeye" hata akipata mafanikio yatachelewa.....NDIVYO
NINAVYOAMINI!!
0 comments:
Post a Comment