club ya as monaco imepanda daraja msimu huu huku ikisajili watu wa maana katika kukitengeneza kikosi chake.Tayari wameshamsajili homa ya jiji RADAMEL FALCAO wapo kina MOURTINHO NA RODRIGUEZ.Hivi karibuni wameendelea kutaja majina mengine makubwa kutaka pia kuwasajili watu wameanza kulalamika.Nadhani hawatakiwi kulalamika sana nataka kuwakumbusha yafuatayo.
Hawa nao walikuja kwa kasi sana katika ulimwengu wa soka walimnunua THIAGO SILVER NA IBRAKADABRA kwa bei kubwa sana toka ac millan lakini pia waliwanunua LAVVEZ na LUCUS MOURA kwa kiwango kikubwa cha fedha lakini watu hawakupiga kelele.walinunua pia wachezaji kibao kama BLAISE MATUID n.k jamani waacheni AS MONACO wafanye yao.
ANZI MAKHACHAKALA ni club ambayo iliibuka kwa kasi sana na kuitingisha Dunia ya soka baada ya kuwasajili SAMWEL ET'OO na ROBERTO CARLOS kwa kiwango kikubwa cha fedha na pia waliwasajili wachezaji wengine kibao na kocha mpya hakuna watu ambao walipiga kelele.Sasa Monaco wanakosa gani?
Mabingwa hawa wamewahi kutumia pesa nyingi sana kuwaleta pamoja mastaa kibao wa soka Duniani na watu walikaa kimya tu.Watu kama ZINEDINE ZIDANE,LUIS FIGO,RONALDO DELIMA nawengine kibao.Wamewahi sajili karibu kila staa Duniani kwa hiyo mimi naona na MONACO waachwe wafanye yao.
Hawanao walipopata tajiri SHEKHE MANSOUR walifanya yao kila aina ya mbwembwe na vibweka walifanya.Tumeshuhudia watu kama carlos tevez,Dzeko,Kun Aguero, na kila aina ya STAA.watu WALISAHAU KULALAMIKA ila leo kwa MONACO IMEKUWA KELELE Dunia nzima waacheni na wao wafanye yao.
31 May 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment