Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA
limetoa orodha mpya ya waamuzi linaowatambua ,Kwenye orodha hiyo kuna
jumla ya waamuzi 18 kutoka Tanzania,miongoni mwa waamuzi hao waamuzi 11
wapya na 7 wa zamani.
Kwa upande wa waamuzi wasaidizi wanaume ni Frank John Komba na Soud Idd Lila , kwa upande wa wanawake ni Kudura Omary Maurice,Hellen Joseph Mduma,Dalila Jafari Mtwana na Grace Mawala.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa website ya bbc swahili.
Waamuzi wa zamani wa Tanzania kwenye orodha ya FIFA ,kwa upande wa wanaume ni Israel Mujuni Nkongo na Waziri Sheha Waziri,kwa upande wa waamuzi wasaidizi ni Josephat Bulali,Fernand Chacha,John Longino Kanyenye ,Ali Kinduli na Samuel Hudson Mpenzu .
0 comments:
Post a Comment