Liverpool Football Club leo imekamilisha usajili wa fowadi raia wa Spain Luis Alberto kutoka klabu ya Sevilla na anataajiwa kutinga jezi namba 9.
kama tulivyotaarifu jana mchezaji huyo wa zamani wa Sevilla Luis Alberto alifanya uchunguzi wa afya klabuni Liverpool jana Ijumaa baada ya dili litakalowatoa Reds kiasi cha £6.8million kufikia muafaka.
0 comments:
Post a Comment