Searching...
Image and video hosting by TinyPic
31 October 2014
Friday, October 31, 2014

Abdul Majaed Waris kutuwa Manchester United


Na Rossa Kabwine

Manchester united wapo katika mpango wa kumsajili mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ghana anayecheza kama mshambuliaji kwenye klabu ya Trabsonspor ya huko nchini Uturuki.

Kocha msaidizi wa Manchester united, Ryan Giggs ana aminika kumfuatilia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23, katika michezo ya ligi ya EUROPA.

 klabu hiyo ya Uturuki, imethibitisha kuwa Manchester United wanamtaka mchezaji huyo. Mkurugenzi wa klabu yaTrabsonspo   alikaririwa akisema kuwa, hakuna ombi lililoletwa rasmi, ila wanajua kama Manchester United wanamfuatilia Waris.

Waris alisajiriwa na klabu hiyo ya Uturuki akitokea katika klabu ya Spartak Moscow msimu huu. Katika mechi dhidi ya Lokeren, kocha msaidizi wa Manchester United, Ryan Giggs alionekana uwanjani akiangalia mechi hiyo.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!