hatimaye droo ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya imefanyika leo na wakulia,wamelia na wakucheka,wamecheka.Gumzo kubwa ni mechi itakaowakutanisha miamba ya England Man United na wababe wa Ujerumani na mabingwa watetezi wa kombe hili,Bayern Munich.
Barcelona v Atletico Madrid
Real Madrid v Borussia Dortmund
Paris St Germain v Chelsea
Manchester United v Bayern Munich
Mechi kuchezwa April 1/2 and April 8/9
0 comments:
Post a Comment