Searching...
Image and video hosting by TinyPic
22 June 2013
Saturday, June 22, 2013

NIONAVYO MIMI KUWA NA NDOTO NI VIZURI HATA KAMA HAZITATIMIA


Manuel Pellegrini ni kocha mpya wa club ya manchester city mwenye umri wa miaka 59 amesema manchester city itacheza mpira wa kuvutia na kunyakuwa makombe msimu ujao.
Amesema anajua kama kocha ROBERTO MANCINI alishindwa kwenye ligi ya mabingwa sasa,yeye amekuja kulichukuwa taji hilo.Amewaomba mashabiki wa ETIHAD kuiunga mkono timu yao kwani kombe la ligi ambalo liko kwa watani zao man united,msimu ujao litarudi pia ETIHAD STADIUM.

Tayari ameshawasajili JESUS NAVAS na FERNANDINHO na amesema ISCO yuko njiani kutua hapo ETIHAD.Ingawa ISCO anaweza kuelekea real madrid.Amerudisha majeshi kwa isco baada yakumkosa EDSON CAVVAN toka Napoli ya Italy.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!