club ya manchester city inajiandaa kwenda nchini Afrika kusini mwezi ujao na watacheza mechi mbili na club mbili za nchini humo.
julai 14 watacheza na timu ya SUPERSPORT UNITED katika mji wa Pretoria na Manuel Pellegrini itakuwa mechi yake ya kwanza kama Meneja wa man city.
Julai 18 watacheza na AMAZULU katika jiji la Durban kwenye uwanja wa Mosses Madiba.Lengo la mechi hizi ni kuchangia mfuko wa Nelson Mandela.
0 comments:
Post a Comment