Searching...
Image and video hosting by TinyPic
21 June 2013
Friday, June 21, 2013

NIONAVYO MIMI KATIKA TETESI ROONEY KWENDA ARSENAL INALIPA.


Club ya arsenal kupitia kwa moja ya wamiliki wa club hiyo mrusi Usmanov amesema kwamba anataka kuhakikisha anamleta fly emirates mshambuliaji wa manchester united wayney ROONEY 

Amesema yuko tayari kulipa euro million 22 kama ada ya uhamisho na kumlipa mshahara wa pound laki mbili Raia huyo wa Uingereza aliyezaliwa mwaka 1985.

kwa namna arsenal ilivyoimarika kwenye kiungo,kama watampata Rooney na Higuain ni wazi kwamba watakuwa wazuri pia kwenye safu ya ushambuliaji.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!