Kipa namba moja wa sunderlanda 25 raia wa ubelgiji simon Mignolet amesema hatoongeza mkataba na club yake ya sasa kwa sababu anataka changamoto mpya.
Liverpool na arsenal wamekuwa mstari wa mbele kumsajili kipa huyo ambaye anathamani ya euro 9million.
0 comments:
Post a Comment