1.Thiago Alcantara kwenda united
kila kukicha zinaibuka taarifa mpya,mara hauzwi,mara wanataka kubadilishana na Rooney.Hii tetesi imeniboa kwa sababu haikamiliki.
2.Edsoni Cavan kwenda chelsea
kila siku ninapo amka huwa nahisi dili limekamilika ila,kila siku ni polojo zile zile.Mara bei imepandisha,mara maafikiano tayari.Inaboa bwana,wasema wanamuuza au wanakaanae!
3.Higuain kwenda Arsenal
habari ni zile zile,mara mchezaji katua London mara karudi Madrid.Presha tupu,Madrid kama hamuuzi huyo mtu,wekeni wazi minimechoka.
4.Rooney,huyu ndo haeleweki hata chembe.Mara moyes anamtaka,mara hamtaki.Psg,Arsenal,Madrid,Bar
5.Lewandowski,huyu nae ananichanganya mara amekamilisha usajili na Bavarians,mara imeshindika.Mara anakuja Man u,mara chelsea.Nimechoshwa na habari zake.
5.Bale na Ronaldo
hawa nao ni pasua kichwa,mara Ronaldo anarudi OT,mara Perez anasema atazeekea Bernabeu.sasa tuelewe lipi?? Bale naye mara anaenda OT,mara Bernabeu!! Mmenichosha!
0 comments:
Post a Comment