Searching...
Image and video hosting by TinyPic
29 June 2013
Saturday, June 29, 2013

NIONAVYO MIMI WAKATI MWINGINE MPIRA NI UPUUZI.


Wakati zimeanza fununu za Gareth Bale kwenda madrid,niliwahi kuandika kwamba sioni kama anahitajika Bernabeu kwa sababu Di maria na CR7 ndo mawinga wa pale na gareth Bale hana mtu wa kumuweka benchi.

Kuna taarifa niliipata,ikanifanya nione mpira sometimes ni upuuzi tu.Kumtoa Di maria na Coentrao na pesa kidogo ili kumpata Gareth Bale ni upuuzi!!

Angel Di Maria huwezi mdharau kiasi hicho,ni fundi sana huyu jamaa.Bale ni mzuri ila sio kwa thamani hiyo na watu hao.

Sasa kama Gareth Bale anauzwa kwa kuwatoa Coentrao na Dimaria na Pesa,ukimtaka MESSI au CR7 siutawauza wachezaji wote??

Siungi hoja mkono.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!