Searching...
Image and video hosting by TinyPic
24 May 2013
Friday, May 24, 2013

NIONAVYO MIMI WEMBLEY SPECIAL

Fainal ya leo inazikutanisha timu mbili zote za ujerumani,Borrusia DORTIMUND VS bayern MUNICH.Bayern waliweza kumfunga bingwa wa SERIA -A JUVENTUS nyumbani na ugenini kwenye Robo Fainal na pia wameweza kuifunga timu bora Duniani na bigwa wa LA LIGA FC BARCELONA nyumbani na ugenini,hiki sio kitu kidogo.


BORUSSIA DORTMUND walipangwa kwenye kundi ambalo lilisadikiwa kuwa la kifo ambalo lilizikutanisha timu zote ambazo zilikuwa bingwa kwenye nchi zao.Real madrid bingwa wa LA LIGA,ajax fc bingwa wa Uholanzi NA manchester city bingwa wa EPL.LAKINI WALIWEZA KUMALIZA KAMA VINARA WA KUNDI.walidhidi kuishangaza dunia ya soka pale walipomfunga Real Madrid na kumtoa katika nusu fainal,hiki sio kitu kidogo.
                                      

hawa wanaweza anza upande wa DORTMUND
1.WEIDANFELLER 2.PISZCZEK 3.SCHMELZER 4.SUBOTIC 5.HUMMELS 6.GROSSKREUTZ 7.BLASZCZYKOWSKI 8.ILKAY GUNDOGAN 9.LEWANDOWSKI 10.BENDER 11.MARCO REUS
                                          


hawa wanaweza kuanza kwa upande wa BAYERN MUNICH
1.NEUER 2.LAHM 3.ALABA 4.BOATENG 5.DANTE 6.SCHWEINSTIGER 7.AJEN ROBEN 8.MARTINEZ 9.MUNDUZKIC 10.MULLER 11.RIBERY

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!