Searching...
Image and video hosting by TinyPic
30 May 2013
Thursday, May 30, 2013

FLORENTINO PEREZ


NIONAVYO MIMI YA BERNABEU

Boss wa Real Madrid Florentino Perez akizungumza na Gazeti la Marca huko hispania.

Kuhusu Ronaldo
nadhani anamkataba wa miaka 2 na Club na ni mchezaji bora ambaye nitamshawishi amalize ndoto zake za soka hapa Bernabeu,simuuzi hata kwa Euro 100m.

Luiz suarez
nadhani Suarez ni moja kati ya wachezaji bora kabisa na kila mtu angependa awe kwenye timu yake.mimi nampenda ila sio yeye tu,wapo wengine pia.

Carlo Ancelot
huyu ni kocha mzuri ambaye anaweza kutufaa lakini wapo pia wengine wengi tu.Hatuna wasi wasi tutachagua atakaye tufaa.

Gareth Bale
nadhani huyu mchezaji amezaliwa ili aje kucheza Real Madrid.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!