Searching...
Image and video hosting by TinyPic
20 May 2013
Monday, May 20, 2013

ukiwa na hawa jamaa,huwezi lala njaa uwanjani.


Radamel Falcao
huyu ni striker raia wa kolombia ambaye alitoka Porto fc na kujiunga na Atletico madrid kazaliwa 1986 ni mpiganaji wa hatari uwanjani.anajua namna ya kuwasulubu makipa.

Zlataan Ibrahimovic
huyu ni msweeden jembe.ananguvu sana uwanjani kazaliwa 1981 na anakipiga na PSG ingawa umri unakwenda ila anajua kufunga.ukiwanae kwenye kikosi,unaweza kushangilia muda wowote.

Oscar Cardozo
huyu ni raia wa Paraguay anakipiga na Benfica amezaliwa 1983.Oscar anasadikika kuwa na mashutu hatari ya kushoto.anafanya kila atakalo uwanjani.

Robert Lewandowski
huyu ni mpoland ambaye anakipiga na Dortmund ya ujerumani.sifa kubwa ya Lewandowski ni kucheza kistaarabu.muda wote msafi na anatikisa kamba.anaitendea haki nafasi yake uwanjani.

Van Persie
huyu ni muholanzi anayekipiga na United kazaliwa 1983,jamaa amekuwa na misimu miwili mfululizo ya maajabu.anaguu la shoto ambalo linawasumbua makipa kila sik

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!