Searching...
Image and video hosting by TinyPic
28 January 2017
Saturday, January 28, 2017

TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA







Na FLORENCE GR

Dirisha  la usajili barani ulaya limepamba moto hasa kunako ligi kuu ya nchini uingereza ambapo linatarajiwa kufungwa siku ya jumanne usiku huku kukiwa na habari mbalimbali zikiwahusisha wachezaji kuhamia timu mbalimbali ,nakuletea magazeti mbalimbali ya nchini uingereza yaliyoamka na vichwa vya habari mbalimbali.



  • Athletico Madrid wako tayari kutoa mshahara mkubwa kwa star wa Arsenal AlexisSanchez.
  • Totenham Hotspurs kupeleka ofa kwa crystal palace kumsajii wilfred Zaha mara baada ya kurudi kutoka AFCON.
  • kocha wa Swansea city Paul Clement kutenga ofa ya euro million 7 kwa beki wa Benfica Lisandro Lopez.
  • Liverpool inania ya kumsajili nyota wa Roma  Leandro Paredes kwa euro million 26.5
  • Kocha wa West brom Albion Tony Pulis ametenga dau la euro million 5 kwa ajili ya mchezaji wa kimataifa wa ubeligiji Nicolas Lombaerts.



  • Arsenal wajiunga na Manchester united kumtaka Antoine Griezman
  • Jose Mourinho kutathimini mustakabali wa Anthony Martial kwenye mechi ya FA.





  • Manchester united kuweka vikwazo kwenye usajili wa Wayne Rooney kuelekea china mwezi ujao
  • Livepool wanajiandaa kumuuza Daniel Sturridge majira ya joto
  • Bastian Schweinsteiger kujumuishwa kwenye kikosi cha manchester united kinachoshiriki michuano ya Europa
  • Steven Gerrard ahofia matumaini ya ubingwa kupotea endapo Liverpool itafungwa na Chelsea Anfield



  • Burnley inataka kumsajili Andrew Robertson kutoka Hull city baada ya kumkosa Robert Snodgrass
  • Oumar Niasse kuthibitisha kuwa yeye ni kati ya washambuliaji bora atakapokuwa anaichezea Hull city kwa mkopo




  • Dimit Payet anakaibia kukamisha usajili wake wa euro million 27 kuelekea  Marseille
  • Leicester city waongeza juhudi za kutaka kumsajili mshamuliaji wa  Middlesbrough Gaston Ramirez

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!