Ni ukweli usiopingika kuwa kasi imekuwa sehemu ya mafanikio katika zama hizi kwenye mchezo wa soka na hili linadhihirishwa pia,kwa wachezaji 3 waliokuwa wanawania Ballon D'or Christiano Ronaldo,Frank Ribery na Lionel Messi.Wote hawa wanauwezo mkubwa sana wa kukimbia pindi wanapokuwa uwanjani.
Kwa mujibu wa goal.com wameendelea kusema kuwa,hata ukiangalia FIFPro starting XI, kuna wachezaji wengi sana ambao wanakasi ya ajabu wawapo uwanjani.Na hapa wameorodhesha wachezaji wenye kasi zaidi duniani na kutengeneza kikosi ambacho kitatumia mfumo wa 4-3-1-2.
0 comments:
Post a Comment