Searching...
Image and video hosting by TinyPic
11 July 2013
Thursday, July 11, 2013

OFFICIAL: WANYAMA ASAINI RASMI SOUTHMPTON - AWA MKENYA WA KWANZA KUCHEZA EPL

Kiungo wa kimataifa wa Kenya amesajiliwa rasmi na klabu ya Southmpton ya England akitokea klabu ya Celtic ya Scotland.

Wanyama ambaye alikuwa akiwindwa na vilabu kadhaa ikiwemo Arsenal na Liverpool, amesaini mkataba wa miaka minne kuichezea Saint iliyonusurika kushuka daraja msimu uliopita.

Ada ya uhamisho wa Wanyama ambaye anakuwa mchezaji wa kwanza kutoka Kenya kucheza kwenye EPL, haijatajwa.

Baada ya kuthibitishwa kwa dili hilo la uhamisho Wanyama alitumia ukurasa wake rasmi wa Twitter na kuandika

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!