Huyuuuuuuuuuu,
ndiye Obama, Rais wa Marekani, Barack Obama, akipiga danadana za kichwa
wakati alipowasili kwenye mitambo ya kuzaliza umeme ya Ubungo jijini Dar
es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kuizindua ramsi mitambo hiyo ikiwa
ni sehemu ya kumalizia ziara yake ya siku mbili kabala ya kuondoka
nchini leo.
2 July 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment