GARETH BALE na Robin Van Persie ndio wachezaji pekee kutoka kwenye ligi kuu ya Engalnd ambao wametajwa katika orodha ya wachezaji wanaogambani kinyang'anyiro cha uchezaji bora wa bara la ulaya.
Mabingwa wa ulaya Bayern Munich wametoa wachezaji wanne kwenye listi hiyo, ambayo pia imewahusisha wachezaji Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.Tuzo hiyo itatolewa August 29, na jopo la waandishi wa habari barani ulaya ndio watakaopiga kura.
Messi na Andres Iniesta walishinda tuzo hiyo miaka miwili iliyopita.
NOMINEES: Gareth Bale, Cristiano Ronaldo, Zlatan Ibrahimovic, Robert Lewandowski, Lionel Messi, Thomas Muller, Franck Ribery, Arjen Robben, Bastian Schweinsteiger, Robin Van Persie
0 comments:
Post a Comment