Searching...
Image and video hosting by TinyPic
18 July 2013
Thursday, July 18, 2013

ARSENAL WANA NAFASI YA KUMNASA SUAREZ


Gazeti la the Daily Mirror, huku ikiaminika the Gunners wako tayari kuofa Liverpool £40m kwa ajili ya Luis Suarez. Gazeti hilo likiandika kua kiasi hicho cha pesa kitaifanya Arsenal iwe na uhakika wa kulinasa windo lao hasa kwa kua wawindaji wenzao Real Madrid wemesisitiza kua hawatolipa zaidi ya £25m kwa ajili ya straika huyu


0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!