Searching...
Image and video hosting by TinyPic
18 June 2013
Tuesday, June 18, 2013

NIONAVYO MIMI TUACHE KUPIMA KWA MACHO,BARCA,MADRID CHALI.



Kuna tafiti imefanywa ulaya NA (INTERNATINAL CENTRE FOR SPORTS STUDIES) na kuweka football academy bora.Kigezo kilikuwa mchezaji kucheza angalau misimu mitatu AKIWA NA CLUB HUSIKA wakati akiwa na umri kati ya 15-21.BARCA yashika namba 4,MADRID namba 10 huku uingereza MAN UNITED ndo ikiwa pekee kwenye namba 17 club toka uingereza ndani ya 20 bora.

AJAX YA UHOLANZI YASHIKA NAMBA MOJA huku ikiwa imewatoa Nigel de Jong (AC Milan), Rafael van der Vaart (Hamburg SV), Wesley Sneijder (Galatasaray), Urby Emanuelson (Fulham), Jan Vertonghen (Tottenham Hotspur), Gregory van der Wiel (Paris St Germain) na Maarten Stekelenburg (AS Roma).

mswiden Zlatan Ibrahimovic,mu Afrika kUSIN Steven Pienaar na Uruguay Luis Suarez hawa wote walicheza AJAX enzi za utoto wao na hawajaingizwa kwenye hii idadi kwa sababu hawakukaa misimu mitatu mfululizo wakiwa na AJAX.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!