Searching...
Image and video hosting by TinyPic
30 June 2013
Sunday, June 30, 2013

NIONAVYO MIMI HIZI NI BAADHI TU YA NUKUU TOKA KWA SUPER MARIO BALOTELI.



1.Kuelekea fainal ya euro hispania vs italia BALLOTELI alisema"nitamualika SHAKIRA ili aje ashuhudie namna nitakavyokuwa namsumbua mpenzi wake PIQUE uwanjani"

2.Baada ya real madrid kufungwa goli 4-1 na Borrusia Dortmund kwenye mechi ya awali,BALLOTELI alisema "kama real madrid watawatoa Borrusia Dortmund,nitawapa zawadi ya kufanya mapenzi na mpenzi wangu kuanzia Jose Mourinho kochqa wao na wachezaji wote wa Real Madrid pale santiago Bernabeu"

3.Alipoulizwa juu ya uwezo mkubwa wa kijana wa arsenal JACK WILSHERE haya ndo majibu yake

"ndo nani wilshere? mimi simfahama labda tutakapokutana na arsenal tena nitajaribu kumwangalia na kumuonyesha zawadi yangu ya mchezaji bora anayechipukia ambayo mimi nimewahi kushinda"

4.Alipoulizwa na wanahabari kwa nini huwa hashangilii magoli yake,haya ndo majibu yake

"sishangilii kwa sababu kufunga ni kutimiza wajibu wangu.kwani mtu wa posta anapoleta barua nyumbani toka posta akifikisha huwa anashangilia? alihoji BALLOTELI.

5.ROBERTO MANCINI wakati yupo man city aliwahi kunukuliwa akisema kwamba "huwa nakwaruzana na BALLOTELI mara kwa mara na wakati mwingine huwa natamani nimtandike hata ngumi"

alipoulizwa BALLOTELI juu ya kauli hiyo ya kocha wake,haya ndio majibu yake.

"hawezi kuthubutu kunipiga ngumi" yeye mwenyewe anajua kama nimepitia mafunzo ya "Thai Kick Boxing"

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!