damu ya Angola imekimbilia ufaransa
Blaise Matuidi
huyu ni kijana wa kifaransa ambaye anakipiga na PSG kama kiungo wa chini.Matuidi amezaliwa 1987 ananguvu na uwezo mkubwa wa kukaba.wengi wanamkumbuka kwa goli lake dhidi ya Barcelona mechi ya kwanza mwaka huu.
Matuidi baada ya kuwa ameongezeka kiwango,Wenger alitaka kumsajili lakini akasua sua kama kawa kwenye pesa na baadae AS saint Etiene wakamsaini na akapewa baadae ucaptain.Baba yake anatoka Angola na mama yake Mfaransa.
Mwaka juzi baada ya Claude Makelele kustaafu soka pale PSG,waliamua kumsaini Matuidi kama mbadala wa makelele ambaye kwa sasa ndiye kocha msaidizi wa Ancheloti pale PSG.
Matuidi anauwezo mkubwa sana wa kukaba na kuwachezesha kina Lucus Moura na Lavvezi ambao huwa hatari sana kwa timu pinzani.jamaa hachoki kwa hiyo namhesabu kama moja ya viungo bora.
0 comments:
Post a Comment