ARON RAMSEY AWAUMBUA WACHAWI WAKE.
December 26 1990 alizaliwa kijana toka wales anaekwenda kwa jina la Aaron Ramsey Rambo.Huyu ni kiungo anayecheza box to box.amewaumbua wachawi wake!!
Aaron Ramsey kipindi anafunga magoli machache,kila alipokuwa anafunga watu walihusisha magoli yake na kufa kwa watu maarufu.alifunga goli 1 dhidi ya FENERBAHCE kule Instunbul.wachawi wakaumbuka!!
Mechi ya marudiano na Fenerbahce,alifunga goli 2 pale Emirates.Mechi ya sundeland wiki iliyopita,aliweza kufanga tena goli 2 na jana dhidi ya Olympic De Merseille alifunga goli 1.wachawi wameumbuka!!
Aaron Ramsey anafunga siku hizi kila siku,na wale wachawi wanaohusisha magoli yake na vifo vya watu maarufu wameumbuka!!
ARON RAMSEY RAMBO kapata dawa ya wachawi wanaomuwangia,nikutupia kila siku.
0 comments:
Post a Comment