Searching...
Image and video hosting by TinyPic
19 May 2013
Sunday, May 19, 2013

NIONAVYO MIMI Yanga ni kama man u,na Simba ni kama Arsenal.

NIONAVYO MIMI Yanga ni kama man u,na Simba ni kama Arsenal.

UNITED pamoja na kumnunua RVP na magoli kibao aliyofunga lakini akili zao bado zinamuwaza Christiano Ronaldo na huwaambii kitu.Yanga pamoja na ubingwa walioupata lakini akilizao bado zinamuwaza Ngassa,ukimponda hawakuelewi kabisa.

Arsenal baada ya kupitisha miaka kibao bila makombe,wametengeza mbinu mpya.ukiwakosoa tu,wanakujibu SISI TULIMFUNGA BAYERN! so what?
SIMBA nao naona wanafanana na hawa Gunners,ukiwaeleza ukweli wanakujibu,NYIE YANGA TUSHAWAPIGA 5-0.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!