Searching...
Image and video hosting by TinyPic
20 May 2013
Monday, May 20, 2013

nadhani hawanao wangepewa kombe.


ARSENE WENGER
huyu mzee ni kocha wa arsenal naweza mfananisha na fundi baiskeli ambaye anakusanya vifaa kidogokidogo halafu vikishakamilika kuwa baiskeli,anaiuza.Anastahili kombe pamoja na kubezwa kote na wadau wa soka,arsenal lazima imalize top 4.sasa kama mtu uwezo wake ni top 4 tu,kwa nini asipewe kombe na FA?

Roman Abramovic
huyu ndo tajiri na mmiliki wa club ya chelsea.huyu dingi wakati alipoichukwa chelsea,alisema ndoto zake ni kupata kombe la UCL,alipolipata akadai,"nataka chelsea icheze kama Barcelona!! Ancheloti hafai,Hidink hafai, Luiz Scholari hafai,AvB Hafai.pamoja na DI MATEO kumpa UCL na FA CUP,jamaa alitimuliwa.naomba na yeye apewe kombe.

Paolo Dicanio
huyu ni mtaliano kocha wa sasa wa sunderland ambaye kazaliwa mwaka 1969.aliwahi kumpiga refa uwanjani na vituko vingine kibao.anashangilia kwa mbwembwe kuliko hata AVB na Mourinho.kashinda vimechi vichache tu lakini madoido mpaka basi.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!