Kumekuwa
na maswali mengi kwa nini Azam FC haishiriki CECAFA Kagame Cup mwaka
huu, hata sisi kama Azam FC tungependa kushiriki lakini kuna vigezo vya
kushiriki ambavyo tunadhani hatuna... awali tulidhani kwa kuwa sisi ni
washindi wa pili kwenye ligi kuu kwa mwaka wa pili mfululizo na Yanga ni
Bingwa mtetezi na Bingwa wa Tanzania basi tungeshiriki lakini kwa
maelezo tuliyopata ni kuwa CECAFA na TFF wamechukua Bingwa wa Mwaka jana
na Bingwa mtetezo wa Kagame Cup. kwa sababu hiyo wachezaji wa Azam FC
wamepewa likizo na watarejea kujiandaa na ligi kuu msimu wa 2013/14
0 comments:
Post a Comment