Oscar
kwa mtizamo wangu kama Mourinho akija,na uwepo wa Moyes Man united! Kwanza
inaleta chachu mpya kwenye soccer la EPL nikimaanisha wadau tunakuwa na
shauku ya kuona new management,new tactics etc! Ila nadhani swala la nani
atafanikiwa ni ngumu kujua,coz hizi club zina philosopy na malengo! Man u
they have Long term focus while chelsea,Short term! It might be tough
for Mourho..kama hatasajiri vizuri!
29 May 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment