Mi
nachokiona hapa kutakuwa na upinzani mkubwa sana ila mwisho wa siku
david moyes atastrugle msimu mmoja tu then akishakaa sawa ni mwendo
mdundo.......mourinho hana mipango ya muda mrefu anawaza kushinda mechi
iliyopo mbele yake tu hivyo kama tutawapima hawa watu ndani ya misimu
mitatu nampa nafasi moyes.
Pia mourinho ni mtu ambaye ameprove kushindwa kudhibiti nidhamu ya timu kwani ye ndo amekua chanzo cha migogoro mingi na kujibizana na wachezaji kitu ambacho kinavuruga hali na morali ya timu kupambana wakati huo huo moyes ni bingwa wa nidhamu.......jamaa ana caliber ya uongozi kiukweli na namtabiria makubwa sana hasa kama ataungaanisha nguvu na rooney na huu ujio wa alcantara na kevin strootman ndio kabisaaaa naiona united ikizidi ku shineees
0 comments:
Post a Comment