Searching...
Image and video hosting by TinyPic
28 May 2013
Tuesday, May 28, 2013

MAISHA YA NEYMAR CAMP NOU


                              
mara kadhaa huwa naangalia video za wachezaji kwenye mtandao hasa wale ambao huwa sipati muda wakuwaona kila weekend.

Nilianza kumfuatilia Neymar MUDA MREFU SASA,nimefanikiwa kuona video zake kibao.Huyu dongo ni zaidi ya Fundi.

Anauwezo wakucheza dakika 20 za mwanzo kama Ronaldinho huku akipiga "pasi za bila macho,anaangalia kulia huku anapiga kushoto"
                                                     


dakika nyingine 25,anauwezo wakucheza kama CR7 huku akipiga ile kitu inaitwa "nyonga baiskeli" na kuwaacha mabeki na viungo chali KISHA kwenda mapumziko huku mabeki wakiomba kubadilisha viatu.

Dakika 45 za mwisho,anaweza cheza kama Messi,kuwaacha haraka mabeki na kupasia nyavu za wapinzani.huyu ndo Neymar da silva.hapa ndipo anapokamilisha dakika 90 za mchezo.

Neymar anakupa radha ya Messi,CR7 na Ronaldinho ndani ya dk 90 peke yake!!

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!