Searching...
Image and video hosting by TinyPic
30 May 2013
Thursday, May 30, 2013

BENITEZ KAANZA KUWACHOKONOA CHELSEA



DAVID LUIZ NI KIUNGO NA BEKI WA KATI WA CLUB YA CHELSEA AMBAYE AMEZALIWA 1987 HUKO KWAO BRAZIL.ALIPOTIMIZA UMRI WAMIAKA 19 ALIJIUNGA NA BENFICA YA URENO AMBAYO IMEMKUZA KWA MUDA WA MIAKA MITANO.

BAADAE ALIHAMIA CHELSEA NA KUTWAA UBINGWA WA ULAYA NA KOMBE LA FA.KOCHA MPYA WA NAPOLI AMBAYE AMEISHINAYE PALE DARAJANI RAFAEL BENITEZ AMEONYESHA NIA YA KUMCHUKUWA BEKI HUYU MWENYE UMRI WA MIKA 26 SASA.
                                                                  
KAMA CHELSEA WATAMUACHIA HUYU KAPTAIN MSAIDIZI WA BRAZIL NI WAZI KWAMBA WATAKUWA WAMEMPOTEZA KIRAKA WA TIMU.UNAUWEZO WA KUCHEZA KAMA KIUNGO MKABAJI,BEKI WA KUSHOTO LAKINI PIA,ANAWEZA KUTUMIKA KAMA BEKI WA KATI.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!